• Deutsch
  • English
  • Swahili

A.T.T. Center - Logo A.T.T. Center

Menü
  • Home
  • Miundo ya Wavuti
    • Portfolio
  • Marketing
  • Huduma za lugha
    • Tafsiri
    • Mafunzo ya Kiswahili
    • Ulizo la online
  • Kompyuta
    • Joomla!
      • Joomla Afrika Mashariki
      • Joomla! CMS kwa Swahili
      • Joomla! Swahili Language Project
      • Official Joomla Website
  • Usafiri/Mapishi
    • Manunuzi ya Usafiri
    • Mapishi
    • Kenya
      • Huduma za mali
      • Safari za porini
      • Kazi ya kujitolea
        • Ripoti kutoka Kenya
        • Ripoti kutoka Tanzania
      • Afrika mashariki
        • Kenya
        • Tanzania
        • Uganda

 Mawasiliano ya kileo ni funguo ya maendeleo

Kuna njia nyingi za kuwasilikiana. Maana biashara za kileo nilazima vifaa vyako vipendeze na kuvutia.
Ni muhimu kutumia mtindo mzuri, rangi nzuri, maandishi mazuri yanayopendeza na yalio na maana.
Vitu hivi vitakusaidia kuweza kupokea na kutuma ujumbe wako kwa njia ya brosha na wavuti.
A.T.T. Center ina huduma za kuunda wavuti wako kwa mitindo na miundo mingi ya kimaajabu.

Lugha & Tafsiri

Weka biashara yako imara kwa matangazo ya kidunia kwa huduma yetu ya kutafsiri kitaalam. Zaidi ya hayo, tunatoa tafsiri ya kuthibitishwa kwa vyeti rasmi na mikataba, tunatengeza maandishi ya lugha za kigeni kulingana na hali, na pia tunasomesha malugha.

Marketing & Wavuti

Ng'arisha biashara yako! Badilisha mawazo nasi, tutayawezesha kunawiri. Tutatengeza mradi wa kiajabu wa miundo wa wavuti, brosha, content marketing au matangazo. Huduma zetu za kiharaka na rahisi zitakusaidia kushawishi wateja wapya.

Huduma za Kompyuta

Shida za kompyuta? Ikiwa PC au notebook yako ina matatizo au inataka kuboreshwa, tuko na suluhisho: kutengeza, kupanua RAM, kubadilisha kioo au hard disk, kutoa virus, kuokoa data, kuhamisha data kwa kompyuta mpya, na mengineo ...

Kuhusu sisi

A.T.T. Center imebuniwa zaidi ya miaka 20. Kwa biashara za makampuni na watu wa kibinafsi katika maeneo ya Ujerumani na Kenya, tunatoa huduma kwa upana wa wingi:
  • Matangazo ya biashara: miundo ya wavuti, brosha, maandishi, content marketing
  • Tafsiri: uthibitisho, utaalamu wa kutafsiri, ukalimani, mafunzo ya lugha
  • Kompyuta: matengezo ya PC na notebooks, data recovery, networks
  • Usafiri: wa ndege, usafiri kwa ujumla, safari za porini na mengineo - tembelea wavuti wetu wa usafiri
  • Kenya: huduma za kukodisha, kuuza na kusimamia mali - angalia A.T.T. Center Real Estate
Gundua mengi zaidi kuhusu A.T.T. Center

Kuhusu sisi

A.T.T. Center imebuniwa zaidi ya miaka 20. Kwa biashara za makampuni na watu wa kibinafsi katika maeneo ya Ujerumani na Kenya, tunatoa huduma kwa upana wa wingi:

  • Matangazo ya biashara
  • Tafsiri
  • Kompyuta
  • Usafiri
  • Mali (Kenya)

Gundua mengi zaidi

MAPYA: Jifunze Kiswahili katika VHS Schweinfurt

Je unaujua msemo maarufu "Hakuna matata"? Mafunzo yetu yanapeana uwezo wa kujifunza zaidi!
Hassan Abdalla, muongozaji wa A.T.T. Center Schweinfurt (Ujerumani), ni mwalimu katika VHS.

Jiandikishe moja kwa moja katika VHS!

Wavuti wa VHS              Maelezo ya mafunzo

A.T.T. Center

Apostelgasse 14

D-97421 Schweinfurt

Simu: +49 9721 185069

Mobili: +49 1713822911

att@att-center.de

  • Wasiliano
  • Kuhusu sisi
  • Mmiliki
  • Ulinzi wa data

Designed by A.T.T. Center. Copyright © 2022 A.T.T. Center. All Rights Reserved.

Back to top